Monday, 31 March 2008

TAMU NYAMA HIII.....................


Hao wachina wakikata nyama ya mtoto mdogo, wachina hupendelea sana kula nyama za watu hasa watoto wachanga na vyura na nyoka.picha kwa hisani ya KATELEPHONE"S FRIENDS

PIGA HUYOOOOOO..........

Vijana wenye hasira wakimpiga mwizi bila huruma baada ya kumbaini kuiba pesa. Hapa ni MOROGORO.

SIKU YA MAULID ILIKUWA NZURI SANA MUM.

Hapa KATELEPHONE akiwa na CHUJI siku ya Maulid iliyofanyika yarehe 29 - 3 -2008 Assembly Hall CHU KIKUU CHA WAISLAMU MOROGORO.

SIE NDIO MAPR WA SASA HIVI ..............................

Vijana hao wakimueleza mpiga picha Mr.KATELEPHONE kwamba wao ndio mapr wa sasahivi na wana uhakika na kazi zao watakazozifanya, wa kwanza kushoto ni SHEMWETA wapili TEMBA na wa mwisho ni Mr Some one,(jina limehifadhiwa )

HII NI SAIZI YANGU JAMANI MIE KIPOTABO....

Mama huyo akilalamika kwamba hiyo nguo ni saizi yake na kwamba yeye ni kipotabo, wanawake kama hawa ni hatari sana kuoa kwani bajeti ya nguo itakuwa kubwa sana.

HII NI VODA VODA YA BURE JAMANI......

Kijana huyo akiuchapa usingizi darasani wakati LECTURE ikiendela kama kawaida, hii ni kutokana na kuongea sana na simu kipindi cha usiku. Huyo kijana anajulikana kwa jina la Chambi

NISAMEHENI JAMANI SIRUDII TENA.........

Kijana huyo ambaye amekamatwa kwa kuiba pesa akilalalmika mbele ya watu waliomzunguka kwamba asamehewe na hatorudia tena kitendo hicho cha wizi. Hii muda mwingine inawezekana kuwa ni hali ngumu ya maisha inayowakabili vijana wengi.

RUDISHA PESA BWEGE MKUBWA WEEE......

Kijana huyo aliyemkwida huyo mwizi anajulikana kwa jina la CHUJI akimsisitiza mwizi kurudisha pesa alizoiba. Tukio hilo lilitokea jana mjini Morogoro.

KIPONDO CHA MWAKA

Kijana huyo akipata kipigo cha mwaka, kijana huyo inasemekana ameiba kiasi kidogo cha pesa kiasi cha shs 5000, hii ni hatari sana kwani kiasi cha pesa kama hiko kinaweza kukuhatarishia maisha yako. Tukio hilo limetokea karibu kabisa na Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro.

Wednesday, 26 March 2008

TUTAMALIZA CHUO TUUUU.......

KIJANA MWENYE KOFIA AKISEMA MANENO HAYO BAADA YA KUTAABIKA SANA KWA MUDA WA MIAKA MIWILI CHUONI.

"NIKO BIZE ................"

Kutokana na maendeleo katika mawasiliano, ofisi nyingi hutumia computer katika kufanikisha kazi za kila siku, hapa MR YUSUPH akiwa bize kazini kwake...

HII SI PICHA YA UONGO NI UKWELI MTUPU...



Huyu ni jamaa kama anavyoonekana katika picha akiwa anaendesha pikipiki ndogo ambayo uzito wake hauendani kabisa na uwezo wa pikipiki yenyewe, inasemekana jamaa ana kilo zaidi ya mia mbili. picha kwa hisani ya KATELEPHONE YOUTH CLUB CENTRE.

Friday, 21 March 2008

AINA MPYA YA VIATU

Hivi si vidole bali hivi ni viatu vya kisasa ambavyo vinauzwa kwa bei ghali sana Ulaya

FORODHANI ZANZIBAR

Sehemu ya biashara mjini Zanzibar sehemu hii maarufu kwa biashara ya urojo na vitu vingine kama pweza na samaki wa kukaanga na watalii hupendelea sana kuja hapa

ENEO LA KITUO CHA MABASI CHA MSAMVU MJINI MOROGORO

Hapa abiria waliotoka Dar wakipanda daladala wakielekea makwao

" FANYA HARAKA KABLA BASI HALIJAONDOKA....."

Huyo no msafiri anayekwenda Dar. ni abiria mzuri wa mabasi ya ABOOD BUS SERVICE, watu wengi wa mjini Morogoro hupenda kulitumia .

UMASIKINI HUU MPAKA LINI?

Hii ni nyumba amabayo watu hujisitiri na kuendesha maisha yao ya kila siku, na hapa ni sehemu katika mkoa wa Morogoro

USAFIR WA MAJINI

Hiyo ni meli ya MV FLYING HORSE inayotoa huduma kati ya DAR na ZNZ kila siku

GARI LA KIFAHARI


Hilo ni gari la kifahari ambalo linauzwa kwa bei mbaya sana

TWIGA SPORTS CLUB

Hiyo ni timu ya mpira wa miguu ya TWIGA kabla ya kufungwa na Cameroon, ilifungwa hapa nyumbani goli 3 na kwao ikafungwa goli 2

JIJI LA DAR LINAZIDI KUPENDEZA

Hapa si ULAYA bali hili ni jiji la Dar es salaam linavyoonekana kwa juu, maghorofa yanazidi kushamiri kwa kasi kama jiji la New york

KUNDI LA WANAUME FAMILY (TMK)

Kundi la wanamauziki wa kizazi kipya WANAUME FAMILY chini ya kiongozi wao JUMA KASIM NECHA, hapa ni baada ya kuvurugika.

"UNAJUA SISI TUNAHITAJI HIVIIII....."

Rais JAKAYA KIKWETE wa Tanzania akimsisitiza Rais GEORGE BUSH wa Marekani kuhusu jambo fulani na juu kule ni walinzi wa Rais huyo wa Marekani.

Thursday, 20 March 2008

HII NI HATARI KWA AFYA ZETU!

Hii ni sehemu ya picha inayoonyesha uharibifu wa mazingira, gari hilo linatoa moshi mwingi na hii inaweza kusababisha athari katika afya zao. Hapo ni karibu kabisa na kituo cha Mabasi cha MSAMVU mkoani MOROGORO.

MSONGAMANO NI KERO SANA !

Hi ni sehemu tu ya msongamano wa magari jijini Dar es salaam.

KUPENDEZA KUNA NJIA NYINGI


Kijana huyo akinekana ameupara vizuri katika mavazi, kwani unaweza ukabuni aina yako ya mavazi.

KARIAKOO MPYA



Hii ni sehemu ya soko la Kariakoo baada ya kuvunjwa na manispaa ya Ilala, msongamano umepungua sana eneo hilo.

KIJANA HUYO AFUMWA

Huyu ni kijana amefumwa na mpiga picha wetu akistarehe nambuzi, hii nikutokana na kupandisha pesa kwa machangudoa

TEKSI NAZO HAZIKO NYUMA

Hapa ndiko teksi zinapopaki, huduma za teksi zinasaidia sana katika kituo cha Mabasi cha Msanvu

MIUNDO MBINU YA UMEME

Hapo ni kituo cha umeme cha msanvu, karibu kabisa na chuo cha TANESCO zamani lakini sasa hivi kinajulikana kama MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO

BIASHARA NI YOYOTE ILE

Hiyo ni biashara ya vikapu ambayo imeshika kasi sana katika kituo cha mabasi cha Mkoa wa Morogoro yaani Msanvu

SHELI YA KISASA

Hii ni sheli ya kisasa ambayo ipo njia panda kwenda Dodoma, nisheli ya kisasa kabisa.

NJIA PANDA KWENDA DODOMA

Hii ndio njia panda inayolekea mkoa wa Dodoma.

"BIASHARA KOKOTE PALE"

Biashara ya nyanya na vitunguu ikiendelea kama kawaida jana katika kituo cha mabasi cha mkoa wa Morogoro

MAMBO YA KITUONI

Hao ni wasafiri wakisubiri kupanda kwenye mabasi yao, na hapo ni kituo cha stendi cha mkoa wa Morogoro. kituo hiki kinajulikana kama Msanvu.

USAFIRI

Basi la ABOOD linalotoa huduma ya usafiri kutoka Morogoro mpaka Dar likiwa katika harakati zake za kusafirisha abiria wake, kutokana na huduma zake kuwa nzuri watu wengi hupendelea kulitumia .

Tuesday, 18 March 2008

MAZOEZI KWA KINA MAMA

Mazoezi ni muhimu kwa watu wa jinsia zote kwani mazoezi humjenga mtu mwili wake na humuepusha na maradhi madogomadogo, huyu mama licha ya kuwa maziwa yake ni makubwa lakini mazoezi hufanya kila siku.

AJALI YA KUJITAKIA

Hii ni hatari sana kwenye usafiri kama huu kwani uwezo wa gari ni mdigo sana kuliko inavyofanyishwa kazi, lakini hii yote ni umasikini vijijini.

KICHEKO CHA MWAKA



Hiyo ndio hali halisi ya furaha aliyokuwa nayo bwana huyo baada ya kupata teerifa ya mafanikio ya familia yake, lakini muda mwingine huwa ni hatari kwa afya yake kwani wadudu kama inzi wanaweza kuingia mdomoni.

UMEME SIO LAZIMA SANA KWENYE REDIO

Mzee huyo wa kijijini amefumwa na mpiga picha wetu akisikiliza redio yake kwa kutumia betri la gari

UMASIKINI


Umasikini uliokithiri vijijini nchini Tanzania, hii ni hali halisi inavyoonekana vijijini na hilo ndilo Gari la Ambulance la kutegemewa na wanakijiji wa Misumbwi.

Monday, 17 March 2008

POZI LA MHESHIMIWA

Mpiga kampeni maarufu wa mheshimiwa Rais Rajabu, huyu ni Mr Musoke

MLINZI WA RAIS


Mlinzi wa Rais akiwa kwenye shughuli zake za kila siku ya kuhakikisha mambo ya ulinzi kwa rais yanakwenda vizuri, Mr Hamza Singano

FURAHA

Furaha waliokuwanayo vijana hawa kwa ushindi wa kishindo wa mgombea wao aliyeshinda jana na huyo aliyelala kwenye kiti inasemekana anaweza kuwa Waziri wa usafiri au fedha Mr Ndaro

SHANGWE



Msafara wa Rais pamoja na makamo wake wakitoka nje ya ukumbi baada ya kutangazwa kuwa washindi wa kinyanganyiro cha Urais wa Chuo jana 16-3-2008

MSAFARA


Rias mpya wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro akitoka ukumbini baada ya kutangzwa kuwa mshindi

FURAHA



Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislam Morogoro wakishangilia ushindi wa Rais wao Mr Hamis Rajabu wa mwaka wa kwanza, uchaguzi huo ilifanyika jana tarehe 16 march 2008












JENGO

Pamoja na uchumi wa Tanzania kukua kwa kasi na majengo nayo yanashamiri kwa kasi mno, hilo ni jengo la umoja wa walimu nchini Tanzania ambalo lipo katika barabara ya Uhuru.

Sunday, 16 March 2008

MAAJABU


Maajabu ya dunia, hali halisi kama inavyojionesha kwenye picha

SOKA

Goli kipa wa kutegemewa kutoka Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro, Maliwa Shabani

TEAM

Timu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kitivo cha elimu kutoka Chuo kikuu cha Waislamu Morogoro