Saturday, 31 May 2008

WAZIRI MKUU AKIWA MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO.



Mizengo Pinda akiaga watu na maofisa wa Chuo Kikuu cha Waislamu mara baada ya kumaliza ziara fupi Chuoni hapa leo mchana.

Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Waislamu mjini Morogoro (mwenye kofia) akitafakari baada ya kumuaga Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda, nyuma yake ni wanafunzi wa Chuo hiko wakiwa karibu na mkuu wao wa chuo.

MAULID YA VIJANA WA KHERI, KARIAKOO DAE ES SALAAM


Sharifu mwenye kilemba cha kijani begani ni msimamizi mkubwa katika Msikiti Mtukufu wa Makkah, Sharifu huyo alihudhuria Mauild ya kukumbuka kuzaliwa kwa Mtume Muhummad (s.a.w.)

PINDA AKIAGANA NA VIONGOZI WA CHUO KIKUU CHA WAISLAMU MJNI MOROGORO.


Mheshimiwa Pinda akiagana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislamu mjini Morogoro Profesa Hamza Njozi, Mheshimiwa Waziri Mkuu alitembelea jana Chuoni hapo kwa ajili ya kutoa ujumbe maalum kutoka Serikali ya Misri.

WAZIRI MKUU ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA WAISLAMU MOROGRO


Pichani mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoka ofisini ndani ya Chuo Kikuu cha Waislamau mjini Morogoro, nyuma ya Waziri Mkuu ni mkewe Bi Tunu Pinda.Picha kwa hisani ya Sheikh DUDE.

Thursday, 15 May 2008

TIMU YA MPIRA WA MIGUU....


Timu hizo zilikutana katika mechi ya kirafiki iliyofanyika mjini Morogoro hivi karibuni. picha kwa hisani ya SHEIKH WA BUNYOKO

KAZI YA UREFA SI YA MCHEZO

Huyo ni Refa wa kutegemewa kutoka Chuo Kikuu Cha Waislamu mjini Morogoro, kwa jina anaitwa MR. SOVU

MICHEZO HUTUNZA URAFIKI


Wanafunzi hutumia michezo kujuana na kuweka mazingira mazuri ya kukuza urafiki kati yao , hao ni wanafunzi wa chuo wakisalimiana kabla ya mchezo wao wa kirafiki, picha kwa hisani ya SHEIKH TOBO

Thursday, 8 May 2008