Tuesday, 12 October 2010

FORODHANI ZANZIBAR SEHEMU YA MISOSI


ENEO LA FORODHANI MJINI ZANZIBAR NI ENEO LA MISOSI MBALIMBALI INAPATIKANA HAPO, WATALII WENGI HUFURIKA HAPO PAMOJA NA WAZAWA NA WAGENI MBALIMBALI HUFURIKA HAPO.

MAKONTENA YAMEFURIKA BANDARI YA MJINI ZANZIBAR


MAKONTENA YAMEFURIKA KATIKA BANDARI YA MJINI ZANZIBAR, HAIKUJULIANA MARA MOJA MAKONTENA HAYO YAMEKAA KWA SIKU NGAPI NA YATAONDOKA LINI.

MELI MPYA YA BAKHRESSA IKISHUSHA ABIRIA

MELI YA ABIRIA YA KAMPUNI YA BAKHRESA IKSHUSHA ABIRIA KATIKA BANDARI YA ZANZIBAR, MELI HII NI MPYA NA IANAFANYA SAFARI KATI YA ZANZIBAR NA DAR ES SALAAM KILA SIKU.

KARIBU ZANZIBAR KISIWA TULIVU

MJI WA ZANZIBAR UANVYOONEKANA KATIKA PICHA HAPO NDIO UNAINGIA MJI WA KITALIII WA ZANZIBAR, KARBU SANA KWENYE MJI WETU HUUUU.

HILO NDIO SOKO KUU LA SAMAKI FERRY

HILO NDIO SOKO KUU LA SAMAKI JIJINI DAR ES SALAAM WAVUVI MBALIMBALI KUTOKA JIJINI HAPA HUENDA KUUZA SAMAKI WAO HAPO NA NDIO SOKO KUU LA KITOWEO JIJINI DAR.

ENEO LA FERRY LINAVYOONEKANA

HILI NI ENEO LA FERRY LINAVYOONEKANA HAPA MELI KUBWA ZA MIZIGO ZINAPITA HAPO NI SEHEMU MUHIMU SANA KWA UCHUMU WA NCHI YETU NA NDIO SEHEMU PANAPOTENGANISHA KIGAMBONI NA FERRY.

Wednesday, 6 October 2010

EBWANAA HEMU CHEKI HIYO SIYO KOPI NI KWELI TUPU HAPO



HIYO NI KWELI TUPU HAPO NI ENEO MAARUFU SANA KWA MCHEZO HUO WA KURUKA WENYEWE WANUITA KUPIGA KACHU, NI MCHEZO MAARUFU SANA KWA HUKO VISIWANI.

Tuesday, 5 October 2010

KULA TANO FASTA FASTA FASTA

VIJAN HAO WA KIZANZIBAR WAKIWA KATIKA POZI NA KUKUPA TANO WEWE UNAENGALIA HII BLOG YA KATELE PICHA HII PIA UNAWEZA KUINO KWENYE HOLLA FIVE ZA CHANNEL FIVE, BIG UP SANA KWA WOTE.

MWAAAAA NIACHENI NIRUKE !!!!!!!!!!

MIONGONI MWA MICHEZO INAYOPENDWA SANA NA VIJANA WA ZANZIBAR NI MCHEZO HUO UNAOUONA KWENYE PICHA, MCHEZO HUO UNAITWA KACHU, VIJANA HAO HUSHINDANA JINSI GANI YA KURUKA NA KUINGIA KWENYE MAJI, TUNAOMBA MASPONSAR WA UWANGALIE KWA JICHO PANA MCHEZO HUO KWANI TUNAWEZA KUPATA WAOGELEAJI WAZURI HAPO BAADAE.

KWA HERII BONGO TANZANIA

MWLI YA MV MESSINA IKONDOKA JANA KUELEKEA MAMTON BAADA YA KUPAKUA SHEHENA YA MIZIGO, MARA NYINGI MELI HII HUBEBA MAGARI KWA NYMA HAPO UNAWEZA KUONA KUNA LANGO KUBWA KAMA CHELEZO.

FORODHANI MPYAAAA

ENEO LA FORODHANI KAMA LINAVYOONEKANA HAPO KWENYE PICHA, ENEO HILO LIMEFANYIWA UKARABATI MKUBWA HIVI KARIBUNI NA WATU WA AGAKHAN, KAMA HUJAWAHI KUFIKA ZANZIBAR JARIBU KUTEMBELEA ENEO HILO.