Thursday, 25 November 2010

UAMTI WA WATU WALIKUWEPO SIKU YA MASHINDANO

NAAM UMATI WA WATU HAO WALIKUJA SIKU HIYO YA MASHINDANO NA KUSHUHUDIA MASHINDANO MAZIMA YA NGALAWA SIKU HIYO, WATU WA RIKA MBALIMBALI WATOTO NA WAKUBWA VIJANA NA WAZEE WALIKUJA SIKU HIYO. picha kwa hisani ya KATELEPHONE.

MAJUKWAA NA WADHAMINI WALIKUWEPO SIKU HIYO

WADHAMINI ZANTEL WALIKUWEPO NA WATU WENGINE PAMOJA NA BAADHI YA MAAFISA KUTOKA UBALOZI WA SHELISHELI WALIHUDHURIA NA KUSHUHUDIA MASHINDANO HAYO.

NGALAWA ZOTE ZIMERUDI SALAMA KAMA UNAVYOOONA HAPO KATI

WATU MBALIMBALI WAANDISHI WA HABARI NA WATU WA MATAIFA MENGINE MBALIMBALI WAKISHUHUDIA TUKIO HILO NA WENGINE WAKIJARIBU KUPIGA PICHA NA KUFURAHI.

NAAAM MSHINDI WETU NDIO HUYOOOOOOOO

NAAM WAPENZI WANGU WA BLOG HIYO NGALAWA UNAYOIONA HAPO NDIO MSHINDI WA KWANZA , KAMA UNAVYOONA HAPO NGALAWA HIYO IMEWAACHA WENZAKE MBALI KIDOGO.
NAAM HAPO NGALAWA NDIO ZIMEANZA KURUDI NA HIYO NGALAWA UNAYOIONA MBELE NDIO MSHINDI WA KWANZA NA HIYO BOTI KATI NDIO MFUATILIAJI NA MUANGALIZI, NA HAPO UNAONA KWAMBA MSHINDI WA KWANZA AMEWAACHA WENZAKE NYUMA ZAIDI.

KWENYE MASHINDANO YOYOTE KUNA MATATIZO YANAWEZA KUTOKEA.

NAAM HAPO NGALAWA ZIMEGUSANA NA KUSHIKANA HII YOTE NI KATIKA PILIKA PILIKA ZA KUWAHI MBIO, NA ILIWACHUKUA KAMA DAKIKA TANO KUJINASUA NA HATIMAYE WAKAJIKUTA WANAKUWA WA MWISHO KUONDOKA.

MASHINDANO YAMEANZA HAPO

NAAAAMMMM !!! FILIMBI IMESHAPIGWA NA MASHINDANO NDIO YAMEANZA RASMI HAPO, NA NGALAWA HIZO ZILLICHUKUA KAMA SAA MOJA NA NUSU KWENDA NA KURUDI SEHEMU HUSIKA.HAPO NGALAWA NDIO ZIMEANZA KUTIMUA MBIO.

BAADHI YA MASHABIKI NA WAKAZI WA MSASANI WAKISUBIRI KUMUONA MSHINDI


MASHUHUDA NA WASHABIKI WA MASHINDANO YA NGALAWA WAKISUBIRI KUTANGAZWA KWA MSHINDI WA MBIO HIZO ZA NGALAWA, NA HATIMAYE MSHINDI ALIKUWA NI NGALAWA NAMBA 15 ILIKUWA IKIONGOZWA NA NAHODHA ZAKARIA.

MASHINDANO YA NGALAWA BEACH YA MSASANI

WAKAZI MBALI MBALI WA MSASANI NA MAJIRANI WA MSASANI WALIKUJA KUSHUHUDIA MASHINDANO YA NGALAWA YALIYOFANYIKA BEACH YA MSASANI MWISHONI MWA WIKI HIII. MASHINDANO HAYA YALIANDALIWA NA WADHAMINI MBAMBALI LAKINI YALIKUWA YANASIMAMIWA NA UBALOZI WA NCHI YA SHELISHELI.

Monday, 8 November 2010

MASHARUBARO WA KARIAKOOO KWENYE POZI LA PAMOJA


HAO NI BAADHI YA MASHAROBARO WA KARIOAKOOO KAMA WALIVYOKUTWA NA MPIGA PICHA WETU DOCTOR KATELEPHONE MAENEO YA KARIOAKOOO WEKI HIII, NA HAO NI WAJUMBE WA TSHIRT ZA MTU MMOKO.