ENEO LA FORODHANI NI MAARUFU SANA KWA MAKUTANO YA WATU MBALIMBALI VIJANA NA WATU WENGINE. VIJVNA WENGI HUKUSANYIKA HAPO NA WENGINE HUWA WANAOGELEA NA WENGINE
MELI MV SEPIDEH IKIJIANDAA KUPAKIA ABIRIA WANAOKUJA DAR ES SALAAM MUDA WA JIONI JANA KAMA ILIVYOKUTWA NA MPIGA PICHA WETU. MELI HII INA UHAKIKA WA ASLIMIA KUBWA YA KUFIKA SALAMA KWANI KILA KITU KATIKA MELI HIII KIPO OK.
HI NI MOJA KATI YA HOTELI ZA KITALII MJNI ZANZIBAR AMBAZO ZIPO MJINI YAANI MJI MKONGWE NA WAGENI WENGI WANAOFIKA KATIKA HOTELI HIII NI WATALIANO NA WAJERUMANI.
HAPA WATOTO PAMOJA NA WAZAZI WAO WAKIJUMUIKA PAMOJA SIKU ZA WEE END MAENEO MBALIMBALI HASA YA FUKWENI AU BEACH KWENDA KUOGELEA NA WENGINE KWENDA KUJISAFISHA NA MAMBO YAO MBALIMBALI YA KIMAISHA . HAPA NI MOJA KATI YA FUKWE ZA BAHARI YA HINDI ENEO LA MSASANI NA FUKWE HII INATWA ALMAARUFU KAMA BEACH KIMBA.
HII NI BARABARA ITOKAYO TANESCO KARIBU NA TMJ HOSPITAL BARABARA INAYOKUJA MSASANI NJIA HII IMEKUWA NI KIUNGO KIZURI SANA KATI YA MIKOCHENI NA MASAKI / OYSTERBAY KWANI HUNA HAJA YA KUZUNGUKA MPAKA NAMANGA HALAFU NDIO UELEKEE MIKOCHENI. HII NJIA NI SHORTKATI SANA KATI YA WATU WA MSASASNI NA MIKOCHENI LAKINI IMEKUWA IKIACHWA NA WAHUSIKA KAMA UNAVYOIONA KWENYE PICHA.
HAPA NI KIPINDI GARI IMETOKA GEREJI BAADA YA MATENGENEZO MAKUBWA AMBAYO YALIGHARIMU SHILINGI MILIONI MOJA NA LAKI SABA NA BAADE ILIUZWA NA MNUNUZI ALISHINDWA KUJUA KAMA GARI HII ILIPATA AJALI.
HII NDIO GARI ILIYOKUWA INAMILIKIWA NA KATELEPHONE LAKINI ILIPATA AJALI KAMA INAVYOONEKANA KWENYE PICHA, KWA BAHATI NZURI HAKUFA MTU WALA KUJERUHI MTU NA ALIYEKODI ALIKUBALI KUGHARAMIA UFUNDI WOTE MPAKA IKAPONA NA BAADAE NITAKUONYESHENI ILIPOTOKA GEREJI ILIKUWAJE.
Wednesday, 1 September 2010
HAPA NI ENEO LA COCO BEACH AMBAPO UMATI MKUBWA WA WATU WAMEKUSANYIKA KATIKA TAMASHA LA KUTAFUTA VIPAJI VYA WAIMBA MUSIKI