Tuesday, 7 September 2010

MV SEPIDEH IKIWA BANDARI YA ZANZIBAR.


MELI MV SEPIDEH IKIJIANDAA KUPAKIA ABIRIA WANAOKUJA DAR ES SALAAM MUDA WA JIONI JANA KAMA ILIVYOKUTWA NA MPIGA PICHA WETU. MELI HII INA UHAKIKA WA ASLIMIA KUBWA YA KUFIKA SALAMA KWANI KILA KITU KATIKA MELI HIII KIPO OK.

No comments: