Thursday, 16 December 2010

TATIZO LA USAFIRI BADO NI KUBWA

HAPO TUNAONA KWA JINSI GANI TATIZO LA USAFIRI LILIVYOKUWA KUBWA, USAFIRI HUUU WA PIKIPIKI KWA KAWAIDA HUPAKIA WATU WAWILI TUUU LAKINI ANGALIA HAPO USAFIRI WA AINA HIYO WA PIKIPIKI UMEPAKIWA WATU WANGAPI?

No comments: